The House of Favourite Newspapers

Upen Patel amrudia mpenzi wake

0

upen_patel_016_1024x768_tvlxUpen Patel

SIKU mbili baada ya kutangaza kuachana na mpenzi wake Karishma Tanna, mkali wa filamu kutoka Bollywood, Upen Patel ameghairi na kuamua kumrudia.

New Delhi: Actors Karishma Tanna and Upen Patel during a programme in New Delhi on July 1, 2015. (Photo: Amlan Paliwal/IANS)

Awali, katika ukurasa wa Twitter wa Patel aliandika;“Mimi na Karishma tumeafikiana kwa njia mbili. Asante kwa penzi lako.”Juzi (Jumanne), Upen alitengua kauli yake na kudai katika mapenzi tofauti hutokea hivyo wapo pamoja.

Upen na Karishma walianzisha uhusiano walipokutana katika tamthiliya ya Big Boss msimu wa nane.

 

Leave A Reply