The House of Favourite Newspapers

Uteuzi Mpya Wizara ya Maji

0

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amemteua Mhandisi Tamimu Twaha Katakweba kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mkoani Morogoro-MORUWASA. Kwa uteuzi huo Mhandisi Katakweba anakuwa Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi wa MORUWASA.

 

Leave A Reply