The House of Favourite Newspapers

NYUMA YA PAZIA TATTOO YA KICHINA YA UWOYA PAJANI – VIDEO

Irene Uwoya

MSANII wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya juzikati alizungumzia tatuu yake yenye maneno ya Kichina ambayo aliichora kwenye paja lake na kudai kuwa ina maana kubwa ya upendo na amani.

Akipiga stori na GLOBAL TV ONLINE, Uwoya alisema kuwa amechora maneno ya Kichina yenye maana amani na upendo.

“Jamani msione tatuu hii haina maana yoyote ile wala haihusishwi na chochote maneno haya ni amani na upendo tu hakuna jingine, niacheni nipumue mimi,” alisema Uwoya.

 

Alichokisema UWOYA Kwenye 40 ya Mtoto wa ZAMARADI

Comments are closed.