The House of Favourite Newspapers

Vanessa, Dogo Janja na Chemical Wafunika Fiesta (Picha + Video)

WANAMUZIKI Vanessa Mdee, Msami, Rosa Ree, Claudia Lubao ‘Chemical’, na Dogo Janja wamefanya shoo kali na za aina yake  katika Viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar wakati wa Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo.

Rapa anayekimbiza kunako muziki wa Hip Hop Bongo, Claudia Lubao ‘Chemical’ (kushoto) akifanya yake na Msami.
…Wakiendelea kufanya yao.
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Dogo Janja akitoa burudani.
Msanii wa muziki Rosa Ree akiwa kwenye dimba la burudani.
Mwanamuziki Vanessa Mdee (kulia) akifanya yake na mcheza shoo wake.

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL

MR BLUE Kafunika Kuliko WOTE Fiesta, Cheki Alichokifanya!

DOGO JANJA Alivyo ‘AMSHA AMSHA’ Fiesta!

FULL VIDEO: JUMA Nature Kwenye STAGE ya FIESTA!

 

Comments are closed.