Video: CCM Yapita Bila Kupingwa Vijiji 6, 248 Uchaguzi Serikali Za Mitaa 2019
“Ofisi yangu imejitahidi sana kufanya kazi kwa weledi mkubwa tukijua wazi kuwa Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa ni muhimu, Watumishi wa Wizara ya TAMISEMI hatulali, tunapambana na Uchaguzi huu” amesmema Waziri Selemani Jafo.
Comments are closed.