The House of Favourite Newspapers

VIDEO: DAVIDO ALIVYOCHUKUA TUZO YA BET 2018

Davido akiongea na umati wa watu na mastaa mbalimbali duniani (hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa Tuzo yake ya BET 2018.

MSANII kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni ‘hitmaker’ wa nyimbo za If na Fall, Davido amekuwa kivutio baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa The Best International Act Award na kuwashinda  Cassper Nyovest (SA), Fally Ipupa (Dr. Congo), Tiwa Savage (Nigeria), Dadju (France), Distruction Boyz (SA), J Hus (UK), Niska (France), Stefflon Don (UK) na Stormzy (UK).

Comments are closed.