The House of Favourite Newspapers

Video: Diamond, Jah Prayzah Walivyokinukisha Kwenye Tamasha la Watora Mari Zimbabwe

diamond-platnumz-and-jah-prayzah

STAA wa Bongo Fleva, Diamomnd Platnumz juzi (Ijumaa) alifanya shoo ya pamoja na staa wa Zimbabwe, Jah Prayzah katika Tamasha la Watora Mari.

Katika tamasha hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Harare (HICC) uliopo nchini Zimbabwe, wakali hao waliimba ngoma yao ya Watora Mari na kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki.

Video hapo chini ni sehemu ya shoo hiyo.

 

Pia unaweza kujiona jinsi Diamond alivyopokelewa nchini humo tayari kwa tamasha hilo;

Comments are closed.