The House of Favourite Newspapers

Dkt Shika Ni Noma! Kalamba Dili Lingine Vodacom (Video)

0


Siku chache baada ya kutumiwa na kampuni ya ubashiri ya SOKABET, Katika tangazo lao, Bilionea aliyetaka kununua nyumba za Mfanyabiashara, Said Lugumi, anayefahamika zaidi kwa jina Dkt Shika, amelamba dili lingine la Tangazo kutoka katika kampuni ya Simu ya VODACOM.

Leave A Reply