The House of Favourite Newspapers

VIDEO | Ferooz – Mapigo

UKIZUNGUMZIA wakongwe wa Bongo Fleva, huwezi kuacha kumtaja Ferooz, msanii huyu aliyefanya vizuri na wimbo ya Starehe mwaka 2003 ambao mpaka sasa haujawahi kuchuja na ukipigwa kila mtu husisimka, amerudi tena na ujio wa nyimbo yake mpya inaitwa Mapigo.

Audio ya ngoma hiyo imefanywa na Producer Mocco na video imeongozwa na Kilonzo.

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

Comments are closed.