The House of Favourite Newspapers

ZIJUE ALBAMU 10 BORA KWA MWAKA 2018

Gazeti maarufu nchini Marekani ‘TIME’ kwa kipindi cha mwisho wa mwaka 2018 wamefanya uchunguzi na kutoa orodha nzima ya Album 10 Bora zilizofanya vizuri kwenye mauzo kwa mwaka huu 2018.

 

Kwa mujibu wa Gazeti hilo rapa wa kike, Cardi B ndiye anaongoza na Albamu yake ya ‘Invasion Of Privacy’ ambayo ilifanya vizuri kwenye mauzo kwa wiki ya kwanza baada ya kuwa launched na fanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye charts za Billboard 200.

 

Albamu hiyo ilijibebea umaarufu kwa nyimbo zake mbili zilizofanya vizuri ambazo ni Bodak Yellow na I like It’.

TAZAMA TOP 10 LIST YA ALBUM

  1. Cardi B – Invasion of Privacy
  2. Janelle Monae – Dirty Computer
  3. Mitski – Be the Cowboy
  4. Shawn Mendes – Shawn Mendes
  5. J Balvin – Vibras
  6. Robyn – Honey
  7. Troye Sivan – Bloom
  8. Kacey Musgraves – Golden Hour
  9. The 1975 – A Brief Inquiry Into Online Relationships
  10. Camila Cabello – Camila.

ITAZAME VIDEO YA ‘I LIKE IT ‘YA CARDI B

Comments are closed.