The House of Favourite Newspapers

Video: Hamorapa Afunguka Uhusiano Wake Na Paula Kajala | Bongo 255

0

Kupitia Kipindi cha Bongo255 cha +255 Global Radio na Global TV msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Hamorapa ameshindwa kuongea Kingereza fasaha.

Hamorapa alipewa Chemsha Bongo kuwa milioni 100 ni sawa Dola za Kimarekani (US Dollars) kiasi gani ambapo alishindwa na kudai kalamu ili aandike kwa kuwa hataki kukosea kwani zinamchanganya.

Leave A Reply