Video: Harmorapa Afunguka Tena – “Hata Nikifa, Amber Lulu Sijam Follow
GLOBAL TV imemtafuta mwanamuziki Harmorapa, ikiwa ni siku chache tangu akumbane na kash kash kufuatia madai yake ya kwamba mtoto wa mwanamuziki Amber Lulu ni wa kwake.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx