Video: Hatimaye Boeing 787-8 Dreamliner Yatua Nchini
RAIS Dkt. John Magufuli leo Jumapili Julai 08, 2018 amewaongoza Watanzania kuipokea ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na serikali ya Tanzania.
Viongozi wengine waliofika uwanjani hapo ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mawaziri, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na viongozi wengine mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa na viongozi wa Dini.
Comments are closed.