The House of Favourite Newspapers

Video: Hotuba ya a JPM, Yamgusa RC Makonda, Meya Kinondoni

“Changamoto ni nyingi katika kuongoza nchi hii, juzi nilikuwa kwenye ziara ya Dar es Salaam, mambo ya hovyo yanafanyika, nimeenda kwenye machinjio jengo la ghorofa moja linajengwa kwa Tsh. Bilioni 14 na nimekuta watu watatu sijui wanne, huwezi ukaamini kuna Viongozi katika Mkoa huu” – JPM

 

“Baada ya kutembelea machinjio ya Vingunguti, siku moja baadae nimeona kwenye TV Meya anakwenda kumkabidhi Mkandarasi site, ni mambo ya ajabu, Meya na kukabidhi site kwa Mkandarasi ni wapi na wapi? Mkandarasi mwenyewe ni yule aliyejenga soko la Mwanjelwa na akashindwa”- JPM

Comments are closed.