The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Kali ya Wema Sepetu Kuhamia CHADEMA

STAA wa Bongo Movies, Wema Sepetu amedaiwa kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kuonekana akiwa bega kwa bega na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

TAZAMA VIDEO HAPA

Comments are closed.