The House of Favourite Newspapers

VIDEO: KUAGWA KIGOGO ‘ALIYEJINYONGA’, MAMA AISHIWA NGUVU!


MWILI wa aliyekuwa mtumishi Wizara ya Fedha, Leopold Kwemba Lwajabe, aliyedaiwa kujinyonga siku chache zilizopita,  umeagwa jana Agosti 1, 2019,   jijini Dar na kusafirishwa kuelekea kijijini kwake, Iyembe,  Karagwe, mkoani Kagera, kwa ajili ya mazishi ambayo yatafanyika kesho (Jumamosi) Agosti 3, 2019.

Global TV imezungumza na mmoja wa ndugu wa karibu wa marehemu Leopold, ambaye ameeleza kwa kina juu ya tukio hilo la kusitikitisha akisema  marehemu amecha mtoto mmoja na mjane ambaye walishatalikiana zamani.

Kwa habari zaidi fungua video chini.

Comments are closed.