The House of Favourite Newspapers

Video: Madam Ritha Aongea Kumlipa Mshindi BSS

0


KWA mara ya kwanza Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Production inayoandaa shindano la Bongo Star Search, Madam Ritha, amejitokeza mbele ya vyombo vya habari kuzungumza baada ya kukamilisha malipo ya mshindi wa BSS mwaka 2019, Meshack Fukuta, kama alivyoagizwa na Naibu waziri wa sanaa, Juliana Shonza, mwezi mmoja uliopita.

Leave A Reply