The House of Favourite Newspapers

VIDEO: MAGOLI YANGA VS TUKUYU STARS 4-0


Kikosi cha Yanga kimeibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Tukuyu Stars katika mchezo wa Kombe la Shirikisho nchini. Yanga imepata mabao hayo kupitia kwa Amis Tambwe aliyefunga matatu huko moja likiwekwa kimiani na Mkongomani, Heritier Makambo.

Comments are closed.