The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Mama Wema Aitolea Povu CCM Akitambulishwa Rasmi Chadema

Mama wa Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu maarufu kwa jina la Mama Wema, leo Machi 18, 2017 amekaribishwa na kutambulishwa kwa uongozi wa CHADEMA jimbo la Kinondoni na kisha kupewa fursa ya kuzungumza machache, itazame video mpaka mwisho kujione tukio zima.

Hakisha unabofya sehemu andikwa SUSCRIBE kwenye video hii ili usipitwe na habari na matukio muhimu kutoka hapa Global TV Online

Comments are closed.