The House of Favourite Newspapers

Video: MBOTO Awalipua Simba Kuelekea Mechi ya Watani wa Jadi

MCHEKESHAJI Haji Salum ambaye pia ni shabiki wa Yanga amewatupia kijembe simba kwamba katika mechi yao ya leo jumapili wasijihakikishie ushindi dakika 90 ndizo zitakazoamua.

Simba na Yanga inashuka dimbani jumapili April 29, 2018 katika uwanja waTaifa jijini Dar es Salaam katika muendelezo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Comments are closed.