The House of Favourite Newspapers

Video: Moto Ulivyounguza Hadi Kuua Watoto 3 Familia Moja, Mama Asimulia

Majonzi yameikumba familia ya Masudi Ally na mkewe Tabu Bakari baada ya kufiwa na nawatoto wao watatu kwa pamoja kwa ajali ya moto Kimara Jijiji Dar es salaam.

Familia hiyo iliyokuwa na watoto watatu, kwa sasa wamebakiwa na mtoto mmjoja ntu, baada ya hao watatu kufariki dunia.

Watoto hao amabo ni Idrissa, Aboubakari pamoja na Iqram walifikwa na umauti wakiwa katika kucha cha uangalizi maalumu (ICU) walipofikiwa kwa ajili ya matibabu.

Comments are closed.