VIDEO MPYA:Navy Kenzo Waja Na Club Banger ‘Roll It’ Itazame Hapa
Kundi bora la muziki Tanzania linaloundwa na Aika pamoja na Nahreel wameileta video ya wimbo wao mpya Roll It.
Video imeongozwa na Justin Campos, audio ikitengenezwa na Buskilaz.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.