The House of Favourite Newspapers

Video Queen wa Rayvanny Anasa Mimba – Video

0

 

MZAZI mwenza na mwanamuziki Rayvanny wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, Fayma, amefunguka kuhusu mpenzi wake huyo kutembea na Video Vixen wake aitwaye Nana na kudai kuwa anachofahamu yeye ni kwamba, binti huyo ni mjamzito.

 

Fayma amesema hayo wakati akipiga stori na Global TV Online kuhusu tetesi za kuachana na Rayvann; “Ninachofahamu huyo dada ana mume wake na ana ujauzito wa miezi minne, hivyo nawashangaaa wanaomhusisha Nana huyo kuwa kwenye mahusiano na Rayvann,” amesema Fayma.

TAZAMA VIDEO

Leave A Reply