The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Rais Magufuli Asafiri Kwa Treni ya Tazara Kwenda Rufiji

Rais Magufuli leo tarehe 25 Julai, 2019, amesafiri kwa treni ya TAZARA kutoka Dar es Salaam kwenda Fuga kisha Kisaki. Atakuwa safarini kuelekea Rufiji ambako kesho ataweka jiwe la msingi la mradi wa kuzalisha umeme wa mto Rufiji.

Rais Magufuli amezungumza na menejimenti pamoja na wafanyakazi wa TAZARA  dakika chache kabla ya kuanza safari hiyo.

Comments are closed.