The House of Favourite Newspapers

Vilio, Simanzi na Majonzi Mazishi ya Mary Bukos

Ibada ya mazishi ikiendelea katika Makaburi ya Makulumra.

 

VILIO, simanzi na majonzi vimetawala wakati wa kuaga mwili wa mdogo wa Mwandishi na Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers, Richard Bukos, marehemu Merry Bukos aliyezikwa leo Desemba 30, katika Makaburi ya Makulumra yaliyopo Mburahati jijini Dar es Salaam.

Shughuli ya mazishi ikiendelea.

 

Marehemu Mary aliyefariki dunia Desemba 28 kwa kuugua ghafla, umezikwa baada kuagwa nyumbani kwao Mburahati jijini Dar es Salaam na kuzikwa katika Makaburi hayo.

Waombolezaji wakiwa makaburini.

 

Richard Bukos akilia kwa uchungu kumpoteza dada yake, Mary Bukos.

 

Waombolezaji wakielekea makaburini.

NA ISSA MNALLY | GLOBAL PUBLISHERS

Comments are closed.