The House of Favourite Newspapers

Viongozi wa Sun Broadcasting ya Zambia Watinga Ofisi za Global TV Dar es Salaam

0
Kutoka kushoto: Rais wa Sun Broadcasting Holding LTD ya Ndola, Zambia, Davies Kabuswe, Meneja Mkuu Sun Broadcasting Holding LTD, Allan Mwale na Abdallah Mrisho, Meneja Mkuu wa Global Publishers wakati wageni hao walipotembelea ofisi za Global TV.

Viongozi wa Sun Broadcasting Holding Limited yenye makao yake makuu Ndola, Zambia, leo Desemba 16, 2023 wametembelea ofisi za Global TV, zilizopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam.

Rais wa Sun Broadcasting Holding LTD ya Ndola, Zambia, Davies Kabuswe (kushoto), Meneja Mkuu Sun Broadcasting Holding LTD, Allan Mwale (kulia) wakiwa na mwenyeji wao, Abdallah Mrisho, Meneja Mkuu wa Global Publishers wakati wageni hao walipotembelea ofisi za Global TV.

Viongozi waliotembelea ofisi za Global TV na kujionea jinsi shughuli za kila siku zinavyofanyika katika ofisi hizo ni Rais wake, Davies Kabuswe pamoja na Meneja Mkuu, Allan Mwale.

Rais wa Sun Broadcasting Holding LTD ya Ndola, Zambia, Davies Kabuswe ( wa pili kushoto), Meneja Mkuu Sun Broadcasting Holding LTD, Allan Mwale (wa kwanza kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na watangazaji wa Global TV, Ester Msofe (kushoto) na Irene Kilango walipotembelea ofisi za Global TV.

Lengo la ziara hiyo, ni kujifunza namna Global TV inavyofanya shughuli zake pamoja na kubadilishana uzoefu.

Rais wa Sun Broadcasting Holding LTD ya Ndola, Zambia, Davies Kabuswe (katikati), Meneja Mkuu Sun Broadcasting Holding LTD, Allan Mwale (kushoto) wakiwa na mwenyeji wao, Abdallah Mrisho, Meneja Mkuu wa Global Publishers wakati wageni hao walipotembelea ofisi za Global TV.
Rais wa Sun Broadcasting Holding LTD ya Ndola, Zambia, Davies Kabuswe akiongozwa na Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho walipotembela ofisi hizo. Nyuma ni Meneja Mkuu Sun Broadcasting Holding LTD, Allan Mwale.

Rais wa Sun Broadcasting Holding LTD ya Ndola, Zambia, Davies Kabuswe na Meneja Mkuu Sun Broadcasting Holding LTD, Allan Mwale wakiwa katika ofisi za Global TV.
Rais wa Sun Broadcasting Holding LTD ya Ndola, Zambia, Davies Kabuswe na Meneja Mkuu Sun Broadcasting Holding LTD, Allan Mwale wakiwa ofisini kwa mwenyeji wao, Abdallah Mrisho, Meneja Mkuu wa Global Publishers wakati wageni hao walipotembelea ofisi za Global TV.
Rais wa Sun Broadcasting Holding LTD ya Ndola, Zambia, Davies Kabuswe (katikati), Meneja Mkuu Sun Broadcasting Holding LTD, Allan Mwale (kushoto) wakiwa na mwenyeji wao, Abdallah Mrisho, Meneja Mkuu wa Global Publishers wakati wageni hao walipotembelea ofisi za Global TV.
Leave A Reply