The House of Favourite Newspapers

Vodacom Wadhamini Mazoezi Ya Viungo Dar

vodaBaadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam,wakishiriki katika mazoezi ya viungo yaliyoandaliwa na EFM radio na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, Wakifanya mazoezi katika kiwanja cha Magunia Msasani jijini Dar es Salaam.vodac…Wakiendelea na mazoezi.vodacomMsanii chipukizi wa mziki wa singeli, Yohana Mruta akiimba baada ya mazoezi ya viungo kuisha yaliyoandaliwa na EFM radio na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kiwanja cha Magunia Msasani jijini Dar es Salaam.

Comments are closed.