The House of Favourite Newspapers

Vodacom yatoa hamasa kwa vijana kuijua Teknolojia ya Habari kupitia mradi wa Code Like A Girl

0
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akizungumza jijini Dar Es Salaam na vijana wakati wa kufunga mafunzo ya ICT kupitia mradi maalum wa Code Like A Girl unaowezesha vijana kujua teknolojia ya habari na kuwahimiza kutumia vyema ujuzi huo ili kumudu ushindani uliopo kwenye soko la ajira
Hisham Hendi akikabidhi zawadi kwa vijana wahitimu wa mafunzo ya Teknolojia ya Habari kupitia mpango wa Code Like A Girl, kulia kwake ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Vodacom Tanzania PLC, Vivianne Penessis .
Mkuu wa Kitengo kinachoangalia ufanisi wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc, Zaitun Ally akipozi na wahitimu
Washiriki wa mafunzo wakimsikiliza Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi.
Hisham Hendi (wapili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wahitimu. Hisham Hendi (wapili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wahitimu.
Leave A Reply