The House of Favourite Newspapers

Wabunge wa Tanzania Wawachapa Wenzao wa Burundi

Kikosi cha Klabu ya Soka ya Wabunge wa Tanzania, Bunge Sc.

KATIKA Michuano ya East Africa Parliamentary Games inayoshirikisha Vilabu vya Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki, mechi iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Timu ya mpira wa miguu Bunge la Tanzania jana iliibuka na ushindi wa bao 3-2 dhidi ya wenzao wa Burundi.

Tanzania wakipata bao.

 

Kwa upande wa Tanzania, mabao yalifungwa na Mohamed Mchengerwa na Yusuf Gogo (aliyetupia mawili), wakati mabao ya Burundi yakifumgwa na Jean Marie Cimpaye na Simon Gakinja kwa mkwaju wa penati.

Wakishangilia bao hilo.

 

Kikosi cha Klabu ya Soka ya Wabunge wa Burundi.

 

Baadhi ya wabunge wa Tanzania wakishuhudia mtanange huo.

 

Game ikiendelea.

PICHA NA MUSA MATEJA | GPL

 

Comments are closed.