The House of Favourite Newspapers

WAFANYAKAZI BENKI YA NMB WALIVYOSHIRIKI KILIMANJARO MARATHON 2019

Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikimbia mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon 2019 Kilomita 21, zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikimbia mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon 2019 Kilomita 21, zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro.
Wakionesha medali.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakifurahia Medali walizokabidhiwa baada ya kushiriki na kumaliza mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakifurahia Medali walizokabidhiwa baada ya kushiriki na kumaliza mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon Kilomita 21 zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro.
Sehemu ya wanariadha walioshiriki mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Moshi mkoani Kilimanajro wakiwa katika picha ya kumbukumbu.

Comments are closed.