The House of Favourite Newspapers

Wafuasi wa CUF Wavamia Makao Makuu ya Chama Zanzibar

cuf-zanzibar-1

MTENDENI, ZANZIBAR: Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar leo wamevamia Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo eneo la Mtendeni visiwani humo wakitaka kufahamu hatma ya maamuzi yao ya Okt 25, 2015, ambapo chama hicho kinadai kilishinda uchaguzi kabla ya kufutwa.

cuf-zanzibar-2Wafuasi wa CUF wakiwa wamekusanyika kwenye ofisi za chama hicho.

cuf-zanzibar-3

halotel-strip-1-1

Comments are closed.