The House of Favourite Newspapers

Wakazi Wa Dar Na Pwani Wanufaika Na Smart Gulio La Vodacom Tanzania

gulio_02gulio_03Wakazi wa Dar es Salaam wakipata maelezo kwenye Gulio la biashara za bidhaa za Mawasiliano lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika viwanja vya  Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.gulio_04gulio_05Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakitoa maelezo kwa wakazi wa Dar es Salaam waliohudhuria Gulio la biashara za bidhaa za Mawasiliano lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.gulio_06Wateja wakifurahia simu za smart phone baada  ya kuzinunua kwenye Gulio la biashara za bidhaa za Mawasiliano lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.gulio_08gulio_09Gulio la Smart phone lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam leo lilihudhuriwa na wateja wa rika zote , watoto na wazazi wao kama wanavyoonekana hawa wakazi hao wakiangalia vipeperushi.

 

Comments are closed.