MA-RC WAKABIDHIWA AWAMU YA PILI YA VITAMBULISHO VYA WAMACHINGA
Share
Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Charles Kichere akitafanua jambo kwa wakuu wa mikoa yote nchini wakati wa kikao kazi kilichoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi na kuhudhuriwa pia na Katibu Mkuu Tamisemi Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akiongoza kikao hicho.
Balozi Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe.
Balozi Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda vitambulisho hivyo.
Balozi Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Bilinith Mahenge.
Balozi Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel.
Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Ally Hapi.
Balozi Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti.
Akimkabidhi Amos Makalla.
Balozi Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali (Mst) Emmanuel Maganga.
Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira
Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey Zambi.
Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Alexander Mnyeti.
Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima
Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila
…akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Steven Kebwe
….akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanw
…akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella
…akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Christopher Ole Sendeka
…akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo
……akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Joachim Wangabo
….akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme
….akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Tellack
…..akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka…akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi…akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela.
….akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Manri
….akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Martine Shigella
Balozi Kijazi katika picha ya pamoja akiwa ameketi na Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi John Nyamhanga (kulia kwake) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe (Kushoto Kwake) Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Charles Kichere (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Ndikilo (kulia) baada ya kuwakabidhi wakuu wa Mikoa hao awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019. PICHA NA IKULU
Comments are closed.