The House of Favourite Newspapers

Walichokifanya Simba Kabla Ya Mechi Ya JS Saoura Taifa – Picha

Wachezaji wa Timu ya Simba kabla ya mchezo wa jana Jumamosi  dhidi ya JS Saoura  kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam walifanya mazoezi ya kujiweka sawa kabla ya mechi hiyo.

SIMBA  waliwaonyesha Waarabu JS Saoura kuwa wao sio wa mchezomchezo baada ya kuwazamisha kwa mabao 3-0.

Wachezaji wa Simba wakijiweka sawa kabla ya Mechi kuanza.
Nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco akijiweka sawa.
Mchezaji wa kimataifa wa Simba, Emmanuel Okwi.

Picha: Sweetbert Lukonge, Musa Mateja na Richard Bukos, GPL

 

Comments are closed.