The House of Favourite Newspapers

WANAFUNZI WANAOFAULU HUSOMA KWA SAA NGAPI?

0

elimu yetu, kusoma

katika elimu yetu, wanafunzi wanaofaulu na wale wasiofaulu, siri yao kubwa imejificha katika muda. Wanafunzi hufikiria muda sahihi wa kusoma ili kuweza kufaulu katika mitihani yao. Siamini katika kusoma ili kufaulu mitihani, bali naamini katika kusoma ili kupata maarifa yatakayokusaidia kutatua changamoto mbalimbali katika jamii. Hata hivyo, kufaulu mitihani ni kipimo kimojawapo kinachotumika kuthibitisha endapo umepata maarifa uliyopaswa kuwa nayo. Swali linabaki kuwa, ‘wanafunzi wanaofaulu husoma kwa saa mangapi?’

 

Kila mwanafunzi ana aina yake usomaji. Wapo wanaosoma kidogo lakini wakafaulu sana, na wapo wanaosoma sana wakashindwa kufaulu kabisa! Pamoja na hayo… SOMA ZAIDI

Leave A Reply