The House of Favourite Newspapers

WASANII KWA HUZUNI: TANGULIA MASOGANGE

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva na Bongo Movies wakati wa kuuzika mwili wa aliyekuwa Video Queen, Agness Gerald ‘Masogange’ katika kijiji cha Utengule, Mbalizi Mkoani Mbeya, leo Aprili 23, 2018.

Baadhi ya wasanii waliomsindikiza Masogange katika Safari yake ya mwisho ni Shilole, Rammy Galis, Dogo Janja, Duma, Aunt Ezekiel, Wastara, Johari, Belle 9, Bill Nas, Chikoka, Steve Nyerere, Mc pilipili na wengine wengi.

Comments are closed.