The House of Favourite Newspapers

KWA HERI MASOGANGE: SIMANZI NA VILIO MAZISHI YA AGNESS – (VIDEO+PICHAZ)

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala miongoni mwa waombolezaji wakati wa kuuzika mwili wa aliyekuwa Video Queen, Agness Gerald ‘Masogange’ katika kijiji cha Utengule, Mbalizi Mkoani Mbeya, leo Aprili 23, 2018.

Comments are closed.