The House of Favourite Newspapers

Wasanii Wajitokeza Kumuaga Masogange Leaders (Picha + Video)

Wasanii na ndugu wa Masogange wakiweka mapambo kwenye jeneza la mwili wake.
…Wakiweka mshumaa kwenye jeneza.
…Wakiwa wamebeba jeneza.
Msanii Zuwena Mohamed ‘Shilole’ (kushoto) akiwa haamini yanayotokea.
Watu mbalimbali waliofika kwenye kuuaga mwili wa marehemu.
Jacqueline Wolper (mwenye miwani) akiwa na wasanii wenzake kwenye msiba huo.
Baadhi ya wasanii wakimbembeleza mtoto wa marehemu Masogange.
Wasanii mbalimbali waliofika kuuaga mwili wa Masogange.
Msanii Anti Ezekiel (mwenye miwani, wa pili kushoto) akiwa viwanja vya Leaders kuaga mwili wa Masogange.

WASANII mbalimbali leo wameungana na watu wengine katika kuuaga mwili wa marehemu Agnes Gerald ‘Masogange’ kwenye viwanja vya Leaders, Kinondoni, Dar es Salaam, ambapo baadaye leo atasafirishwa kupelekwa Mbeya nyumbani kwao kwa ajili ya mazishi.

(PICHA: RICHARD BUKOS | GPL)

Kuagwa kwa Mwili wa Agness Masogange, Viwanja vya Leaders

Comments are closed.