The House of Favourite Newspapers

Wasanii Watakaokiwasha Fiesta Mwanza Watembelea Tigo

Msanii bongofleva Billnass akisajili laini yake kwa mfumo wa  alama za vidole  alipotembelea duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.Mapema leo kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Tigo Fiesta 2019_Saizi yako  Jijini Mwanza.
Msanii wa Nyimbo za Injili Goodluck Gozbert akiwa Pamoja na msanii chipukizi wa Bongofleva Badest  walipofika kusajili laini zao  kwa alama za vidole na kuona huduma mbali mbali duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza
Msanii bongofleva kutoka kundi la Weusi Gnako  akisajili laini yeke kwa mfumo wa alama za vidole pembeni yake ni Meneja Huduma kwa wateja kanda ya ziwa Beatrice Kinabo.
Wasanii watakaotumbuiza katika tamaha la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako Jijini Mwanza wakiwa katika picha ya Pamoja

Comments are closed.