The House of Favourite Newspapers

Washindi wa Tigo Jigiftishe Moshi, Arusha wakabidhiwa fedha zao

Mratibu wa Usambazaji na Tigo Pesa Mkoa wa Kilimanjaro Wolfgan Miraro akimkabidhi mfano wa Hundi ya Shilingi milioni moja  mmoja wa washindi wa Promosheni ya Jigiftishe, Yussuph Miraro, kutoka mkoani Arusha. 
Mratibu wa Usambazaji na Tigo Pesa Mkoa wa Kilimanjaro Wolfgan Miraro akimkabidhi mfano wa Hundi ya Shilingi milioni moja mmoja wa washindi, Hilda Lema, wa Promosheni ya Jigiftishe mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro.
Mratibu wa Usambazaji na Tigo Pesa Mkoa wa Kilimanjaro Wolfgan Miraro akimkabidhi Mkazi wa Moshi mjini, mkoani Kilimanjaro Albina Mmbaga mfano wa Hundi ya Shilingi milioni moja baadaya kufanikiwa kuibuka mshindi wa Promosheni ya Jigiftishe.
Wakiwa katika picha ya pamoja.

 

Comments are closed.