The House of Favourite Newspapers

Washiriki wa Dance 100% 2016 wapewa nasaha za maisha na wafanyakazi wa Vodacom kuelekea fainali

002-dance

Washiriki  wa shindano la Dance 100%  2016 wakimsikiliza Meneja wa Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Msamo Willnevilline(kulia) alipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea huduma  mbalimbali za mawasiliano zinazotolewa na kampuni hiyo na kupewa nasaha na baadhi ya wafanyakazi ili waweze kujituma wakati wa  fainali itakayofanyika tarehe 24 mwezi huu kwenye viwanja vya Don bosco Oysterbay  jijini Dar es Salaam, Mshindi wa shindano hilo ataondoka na kitita cha shilingi Milioni 7. Shindano hilo linaandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Coco-Cola, watatu kutoka kuliani  Meneja  Msaidizi wa Chapa ya Coca-cola, Mariam Sezinga.

003-dance

Mmoja wa washiriki wa shindano la Dance 100%  2016,akionyesha umahiri wa kucheza wakati washiriki hao walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea huduma  mbalimbali za mawasiliano zinazotolewa na kampuni hiyo na kupewa nasaha na baadhi ya wafanyakazi kuelekea fainali itakayofanyika tarehe 24 mwezi huu kwenye viwanja vya Don bosco Oysterbay  jijini Dar es Salaam, Mshindi wa shindano hilo ataondoka na kitita cha shilingi Milioni 7. Shindano hilo linaandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Coco-Cola.

004-dance

Baadhi ya vijana wanaoshiriki katika shindano la Dance 100% 2016 wakimskiliza mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Neema Kisanga(kushoto)alipokuwa akiwapa nasaha za maisha wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea huduma  mbalimbali za mawasiliano zinazotolewa na kampuni hiyo na kupewa nasaha na baadhi ya wafanyakazi kuelekea fainali itakayofanyika tarehe 24 mwezi huu kwenye viwanja vya Don bosco Oysterbay  jijini Dar es Salaam, Mshindi wa shindano hilo ataondoka na kitita cha shilingi Milioni 7. Shindano hilo linaandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Coco-Cola.

005-danceMeneja  Msaidizi wa Chapa ya Coca-cola, Mariam Sezinga(katikati)akiwa na washiriki wa shindano la Dance 100%  2016,wakati  walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea huduma  mbalimbali za mawasiliano zinazotolewa na kampuni hiyo na kupewa nasaha na baadhi ya wafanyakazi kuelekea fainali itakayofanyika tarehe 24 mwezi huu kwenye viwanja vya Don bosco Oysterbay  jijini Dar es Salaam, Mshindi wa shindano hilo ataondoka na kitita cha shilingi Milioni 7. Shindano hilo linaandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Coco-Cola.

Comments are closed.