The House of Favourite Newspapers

Wateja Wa Vodacom Tanzania Wapatiwa Elimu Ya M-PAWA

005-mtaaMeneja  Huduma wa Vodacom Tanzania,Dia Mussana (kulia)akimuanganishia  Mohamed Zuber anayefanya baiashara ya Urembo katika soko la Tandika jijini Dar es Salaam, wakati  wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda  sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani  kwa ajili ya kutoa  elimu ya huduma ya M-pawa  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja  Duniani.

001-mtaaMkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania , Hassan Saleh  akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa kamapuni hiyo  Mlimani City jijini , wakati  wakijiandaa kuelekea sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani kutoa elimu ya huduma ya M-pawa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja  Duniani.

002-mtaaAfisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare, akiongea na waandishi wa habari, kuhusiana na wafanayakzai wa kampuni hiyo kwenda sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani kutoa elimu ya huduma ya M-pawa  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja  Duniani.003-mtaa004-mtaaMkazi wa Tandika jijini Dar es Salaam, Masoud Juma akiunganishwa  katika huduma ya M-Pawa na  Afisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare,  wakati  wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda  sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani  kwa ajili ya kutoa  elimu ya huduma ya M-pawa  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja  Duniani.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Comments are closed.