The House of Favourite Newspapers

Watoto Walivyosherehekea Krismasi Dar Live

…Wakipanda sanamu ya picha ya ndege.
…Furaha ikiendelea katika kusherehekea Krismasi.
Watoto wakiwa katika bembea zilizomo ndani ya ukumbi wa Dar Live.
Kikundi cha ngoma kikitoa burudani.
Burudani kutoka kwenye kikundi cha ngoma zikiendelea.
Baadhi ya watoto waliofika kusherehekea krismas ndani ya Dar Live.
…Wakiendesha baiskeli za watoto zilizomo ukumbini.

 

KATIKA kusherehekea sikukuu ya Krismasi watoto jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake leo wamesherehekea kwa furaha kubwa katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem.

 

Ndani ya kiota hicho cha burudani, watoto walipata fursa ya kuogelea katika bwawa maalum lililomo ndani ya ukumbi huo ambapo walishindana pia katika kuimba nyimbo za wasanii na michezo mbalimbali ya kubembea.

 

NA DENIS MTIMA/GPL

Comments are closed.