The House of Favourite Newspapers

200 Wauawa Kwenye Maporomoko ya Ardhi, Sierra Leone

0
Maporomoko Sierra Leone.

WATU 200 wameuawa na wengine ambao idadi yao haijafahamika hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya ardhi kuikumba Sierra Leone leo Jumatatu, Agosti 14, 2017.

Taarifa zimeeleza kuwa, eneo moja la milima liliporomoka mapema kufuatia mvua kubwa, na kusababisha nyumba nyingi kufukiwa na udongo na mawe yaliyokuwa yakishuka kutoka milimani.

Baadhi ya raia waliokuwa eneo la tukio wameokolewa huku maafa makubwa yakiarifiwa kutokea katika  Mji wa Free Town.

 

LIVE: Mapokezi ya Rais Abdel Fattah El-Sisi wa Mirsi Ikulu -Dar

Leave A Reply