The House of Favourite Newspapers

WATU WENYE USHAWISHI MKUBWA TWITTER 2018, ORODHA HII HAPA

Kampuni ya Brandwatch inayohusika na uchunguzi katika mitandao ya kijami, imetoa orodha kamili ya kumaliza mwaka 2018 ya wasanii, wanasiasa na mastaa wengine kwa upande wa kuime na wa kike ambao wana ushawishi mkubwa katika mtandao wa Tweeter.

 

Vigezo vilivyotumika kutoa alama ambazo ni chini ya 100 vimelenga wingi wa wafuasi (Followers), Retweets, Replies na post yake ni watu wangapi wamejihusisha nayo.

 

Msanii wa Pop, Taylor Swift’ amekamata nafasi ya kwanza kwa kuongoza na  alama 98 kwa wanawake na upande wa kiume pia ambapo Liam Payne amekamata nafasi ya kwanza kwa upande wa kiume kwa alama 97.

 

Orodha kamili iliyotolewa na Brandwatch 2018 ipo hapo chini kwenye graph ambayo imehorodhesha Jina kamili, Jina analotumia Tweeter, Alama alizopata, Wafuasi (Followers), nafasi yake kwa mwaka 2018 na nafasi yake kwa mwaka jana 2017.

 

TAKWIMU KWA WANAUME (MALE)

 

TAKWIMU KWA WANAWAKE (FEMALE)

 

UNYAMA: Mama Amfungia Mwanae Ndani Mwaka Mzima!

Comments are closed.