The House of Favourite Newspapers

Watuhumiwa Wa Uhalifu Waliofikishwa Kisutu Leo

kisutuBaadhi ya watuhumiwa wa uhalifu wa makosa mbalimbali wakitoka kizimbani huku wakikwepa kamera ya paparazi wetu.

kesi

Mtuhumiwa akisindikizwa na askari wa Magereza baada ya kusomewa mashtaka yanayomkabili.

kesi-1Watuhumiwa wakitoka kizimbani baada ya kusikiliza kesi zinazowakabili.

kesi-2Watuhumiwa wakiendelea kukwepa kamera ya paparazi wetu baada kusikikiliza mashtaka yanayowakabili.

MTANDAO wetu leo ulitembelea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo, miongoni mwa mambo mengine, ilijionea shughuli za mahakama hiyo zinavyoendeshwa na pia kupata fursa ya kunasa picha za baadhi ya watuhumiwa kadhaa waliokuwa wamefikishwa mahakamani hapo kukabili mashtaka yanayotokana na tuhuma mbalimbali.

Na Denis Mtima/Gpl

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

.

 

Comments are closed.