testiingg
The House of Favourite Newspapers

Waziri Aitembelea TPDC na Kupewa Maelezo Kuhusu Matumizi ya Gesi Asilia Majumbani

0

 

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Omary Said Shaaban ametembelea jengo la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC kwenye Maonesho ya Bidhaa za Viwanda Tanzania yanayofanyika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Saalam.

 

Akiwa katika jengo hilo, Waziri Shaaban amepewa maelezo ya kina ya mradi wa matumizi ya gesi asilia majumbani kutoka Kwa Mhandisi Eva Swila wa TPDC.

Leave A Reply