The House of Favourite Newspapers

Waziri Lugola Afiwa na Mdogo Wake jijini Mwanza

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amefiwa na mdogo wake jijini Mwanza leo. Mwili wa Marehemu Josiah Chitage Lugola umehifadhiwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, jijini humo. Msiba upo Kijiji cha Nyamitwebili, Kata ya Nyamihyolo, Jimbo la Mwibara, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara.

Comments are closed.