The House of Favourite Newspapers

Wekesha na Vodacom Ujipatie Smartphone Mpya – Video


KAMPUNI ya Vodacom imewawezesha watumiaji wa mtandao wake kupata au kumiliki Smartphone wanayoipenda kwa kulipa kidogokidogo kupitia M-Pesa ndani ya miezi mitatu. Ni rahisi sana kumiliki simu uipendayo kupitia huduma hii ya wekesha kidogo kidogo kwa siku 90.

Pia unaweza kumwekeshea rafiki yako aondoke na simujanja mpya.

Piga *149*96# na uchague simu uipendayo kisha ujiunge na mpango wa kuwekesha kidogokidogo.

Malipo ndani ya miezi 3

VIGEZO NA MASHARTI

  1. Ofa hii ni hadi kuisha kwa bidhaa.
  2. Ofa zinaweza kubadilika muda wowote bila taarifa.
  3. Rangi za simu kwenye matangazo zinaweza kuwa tofauti na zilizopo madukani.
  4. Bei zote zimejumuishwa na VAT.
  5. Bei zinaweza kubadilika kutokana na viwango vya mabadiliko ya fedha za kigeni.
  6. Kosa lolote la uchapishaji au vinginevyo katika matangazo ya ofa hii,Vodacom haitawajlbika

Comments are closed.