The House of Favourite Newspapers

Wema Akicheza ‘Kwangaru’ ya Harmonize Ft Diamond- Video

KWA mara ya kwanza tangu ngoma mpya ya msanii kutoka wa ‘WCB’ Harmonize aliomshirikisha Diamond Platnumz ‘KWANGARU’ itoke, msanii wa filamu Wema Sepetu ameonekana akijiachia kwa furaha huku akicheza kwa manjonjo wimbo wa

 

tukio hilo limejiri usiku wa kuamkia leo wakati wa hafla fupi aliyoandaliwa na wasanii wenzake, wakimpongeza kufuatia ushindi wa tuzo za Sinema Zetu Film Festivals zilizotolewa na Azam TV mwezi jana.

 

Katika halfa hiyo, Wema aliwashukuru wasanii wenzake kwa hafla hiyo na pia amesema ameyasikia maneno ya baadhi ya wasanii wengine waliponda baada ya yeye kupata tuzo hizo, lakini anazichukulia kama changamoto tu kwenye maisha.

Comments are closed.